Leteipa The King – Kizero Lyrics

VERSE 1
Tufununu tumespread kwa Mitaa, Kwamba
Leteipa siku hizi anaitwa VampK
Sijui Ni kun’gu ama Ni Kichaa, Soo yule tulimjua
kipindi akiwa class eight
Na Kama rungu anatembea Na guitar,
Ameacha Kuimba Choir sikuhizi anaimba
mapenzi,
Na kitu moja chenye Nina ihakika,
Akimaliza Mwaka mmoja mniite mshenzi
Maulana tenda Jambo, Wanangoja nifail waniuse
Kama example,
Ona tulikaonya kitamboo, Kamekataa sa
kameshikwa na mascundles,
Na kama bado mi Ni wako, tafadhali nifungulie
milango,
Wanipende Kama kitambo, Ngoma zangu ziskike
Kenya mpaka N’gambo
HOOK:
They said I messed up her sister, Nikamfanya
ahepe home,
I acted like a evil teacher, Nikafunza brother yake
kuchoma ndom,
Wasn’t it for me and my evil pictures, Moto wa
jirani angepeform,
Kuku zenu tafadhali Ficha, Atazigeuza zikuwe
form
CHORUS:
(Am still me) Sunday tukienda Sunday School
saa Tisa kuwahi wrestling
(Am still me) Raima tukila mcheleku, Gari za wire
mpaka battery
(Am still me) mnaniita msanii, Kioo Cha jamii
(Am still me)mkimaanisha msanii, Kizero Cha
jamii
VERSE 2
Kanajifanya sharobaro
Kila time Ni ming’aro
Kusumbua akina Caro, Kubrag mitani na miado
za maparo,
Wazazi waliwaste Karo
Kusomesha huyo mtaro
Hapo walitupa mbao heri wangebuy maziwa
wakapike chai kwao.. Kanadhani kashakuwa katalii
Kashaanza kuvuta bangi
HOOK:
They said I messed up her sister, Nikamfanya
ahepe home,
I acted like a evil teacher, Nikafunza brother yake
kuchoma ndom,
Wasn’t it for me and my evil pictures, Moto wa
jirani angepeform,
Kuku zenu tafadhali Ficha, Atazigeuza zikuwe
form
CHORUS:
(Am still me) Sunday tukienda Sunday School
saa Tisa kuwahi wrestling
(Am still me) Raima tukila mcheleku, Gari za wire
mpaka battery
(Am still me) mnaniita msanii, Kioo Cha jamii
(Am still me)mkimaanisha msanii, Kizero Cha
jamii Become a better singer
in 30 days with these videos! With the support of
Mamboleo Mshairi, Leteipa the King has been
able to produce his first Music Video titled Ndoto
ya mchana
Update this biography »
Year: 2021 10 Views
Struggling with Kizero? , Dwanzi, Nimeshafika featured by Mikasi, Looser
featuring Muna party etc. Ni wangap tumewaona wasanii
Wameishia kwa mihadarati..